Kwanini hizi gari ndogo hasa jamii ya corolla zinapata sana shida ya stering rack

Mshasha wane

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2014
Posts
234
Reaction score
633
Jamani naomba kujua kwanini hizi gari ndogo hasa jamii ya Corolla zinapata sana shida ya stering rack
 
Jamani naomba kujua kwanini hizi gari ndogo hasa jamii ya Corolla zinapata sana shida ya stering rack

Huwa ni ngumu sana kujua Zina shida mafuta ya kivuja maana zinakuwa Na ulain Fulani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…