Kwanini hizi pesa za Tozo zisitumike kuboresha Umeme nchini?

Kwanini hizi pesa za Tozo zisitumike kuboresha Umeme nchini?

Jumong S

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2013
Posts
7,385
Reaction score
10,659
Sasa imekua kero yani kero haswa! Hapa nilipo umeme umekatika Mara 3 na mpaka Sasa Hakuna umeme while last year mpk May mwaka huu ilikua TANESCO wakikata ni only one day per week Tena kwa taarifa.

Kwanini hizi pesa tunazokatwa bila ridhaa zisitumike kujenga miundo mbinu ya umeme? Tuliambiwa zinakatwa ili kujenga madarasa sasa tulipewa 1.3 trillions za Corona tukazichepusha kwenda kujenga madarasa, basi hii kodi ya miamala iboreshe umeme tuondokane na huu upuuzi wa kukata kata umeme kama bado tupo Zama za mawe za Kati!

Mnakeraaaaa
 
Yaani ili mpate sehemu ya kuchajia simu zenu kisha mje online kuwatukana Waheshimiwa?
 
Walioko madarakani wanatuona sisi wananchi "mapunga!"

Sijui wanatuchukuliaje
 
Back
Top Bottom