Kwanini hospital ya Taifa ya muhimbili hakuna huduma ya Wi-fi?

Kwanini hospital ya Taifa ya muhimbili hakuna huduma ya Wi-fi?

1. Vyuo vikuu wenyewe hawana hizo Free Wi-Fi. Sembuse Muhimbili National Hospital?

2. Wao wanatoza pesa ya maegesho na Mochwari Tu. Hayo ya WiFi labda waanzishe ya kulipia pia.
 
Back
Top Bottom