Kwanini human cloning kwa Messi na sio Ronaldo?

Kwanini human cloning kwa Messi na sio Ronaldo?

mzabhe

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2017
Posts
261
Reaction score
279
Ni ukweli ulio wazi kuwa cloning ikifanyika kwa Messi kuna high chance ya kumpata Messi aliyekamilika kwa asilimia 100. Ila ikifanyika kwa ronaldo anaweza akatokea binadamu mchezaj wa kawaida kama akina Rafael boko, Ajib Migomba na labda lukaku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
King LEO is brilliant... nahisi huwa ni Allien

13SEPTEMBER
 
Kuna players wengi tu wa sasa/wazamani waliokuwa wanasifika kwa skills, dribbles, freekick na magoli....lakini only King Messi anafanya vyote hivyo na kadhalika.


Mungu amuongoze huyu kiumbe, maana bado sijaona mchezaji wa kumfikia mpaka sasa tokea soka lianze kuchezwa.


kama imekuuma hii comment jitundike
!
 
Ni ukweli ulio wazi kuwa cloning ikifanyika kwa Messi kuna high chance ya kumpata Messi aliyekamilika kwa asilimia 100. Ila imifanyila kwa ronaldo anaweza akatokea binadamu mchezaj wa kawaida kama akina Rafael boko, Ajib Migomba na labda lukaku
Sent using Jamii Forums mobile app
hahah cr7 mzee wa kuvizia uyu namfananisha na jamaaa moja kule tukuyu anaitwa angasisye
 
Leo leo hii
Screenshot_2019-04-05-12-02-11.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom