Prof. Suleiman au Solomon alisema hivi πππ
CHADEMA na wapinzani wana sifa ya kuitwa wajinga, tena wajinga sana. Maana kuna vitu ambavyo hata ukitumia akili ya Darasa la 3 tu unajua hiki kitu ni uongo kwa 100% lakini wao wanameza kama kilivyo.
Jumapili njema.