Niliuliza swali humu JF,
Kwanini huyu msanii wetu mkubwa anaimba sana nyimbo za kuhamasisha ngono tena kinyume na maumbile. kwa wakati ule sikupata jibu, sasa jibu limepatikana, ila ninacho msii kwa sasa abadilike aache huo ushetani.
Asitumie usanii na umaarufu wake kuipotosha na kukiangamiza kizazi. Msanii ni kioo cha jamii.
Hatahivyo bora nife masikini kuliko kutafuta utajiri au vyeo kwa njia za kishetani.