Yule anayevaa kikuku wakati ni mwanaume,anasuka ,analamba lamba midomo,Tanzania kuna wasanii wakubwa wengi.
Hata mm ni msanii, mtaje...
Mboso hakwenda kwa diddyMboso
Usipomtaja kulikuwa hakuna haja ya kuanzisha uzi huuNiliuliza swali humu JF kwanini huyu msanii wetu mkubwa anaimba sana nyimbo za kuhamasisha ngono tena kinyume na maumbile. kwa wakati ule sikupata jibu, sasa jibu limepatikana, ila ninacho msii kwa sasa abadilike aache huo ushetani....asitumie usanii na umaarufu wake kuipotosha na kukiangamiza kizazi.
Msanii ni kioo cha jamii.
Hatahivyo bora nife masikini kuliko kutafuta utajiri au vyeo kwa njia za kishetani.
Aliyepanda ghorofani kwa diddy kuangalia movieUnaongea pumba Tanzania Kuna wasanii wakubwa kibao yupi sasa au mzee yusufu
Hicho ndio watu wanapenda kusikia. Huyo ni mfanyabiashara sio akina late Mbaraka Mwinshehe. Yeye kaona wateja wake wanapenda nyimbo za aina hio ndio anawaletea wateja kitu wanachopenda.Niliuliza swali humu JF kwanini huyu msanii wetu mkubwa anaimba sana nyimbo za kuhamasisha ngono tena kinyume na maumbile. kwa wakati ule sikupata jibu, sasa jibu limepatikana, ila ninacho msii kwa sasa abadilike aache huo ushetani....asitumie usanii na umaarufu wake kuipotosha na kukiangamiza kizazi.
Msanii ni kioo cha jamii.
Hatahivyo bora nife masikini kuliko kutafuta utajiri au vyeo kwa njia za kishetani.
Msanii yupi huyo?Niliuliza swali humu JF kwanini huyu msanii wetu mkubwa anaimba sana nyimbo za kuhamasisha ngono tena kinyume na maumbile. kwa wakati ule sikupata jibu, sasa jibu limepatikana, ila ninacho msii kwa sasa abadilike aache huo ushetani....asitumie usanii na umaarufu wake kuipotosha na kukiangamiza kizazi.
Msanii ni kioo cha jamii.
Hatahivyo bora nife masikini kuliko kutafuta utajiri au vyeo kwa njia za kishetani.
hizo ndio nyimbo zake, anahamasisha ngono kinyume na maumbile, lengo lake ni kukipoteza kizazi kama yeye alivyo naswa kwenye mtego wa Pddy.Tema mate niteleze kama nyoka pangoni.
Kwangaru ibane kwangaru babu juma mpige kwakwarukwaaa.
Niteme mate kama koboko.
Don Masha kwenye Bunyero ,msamwanda wa Buku Jero.
Nilishangaa kuna Wimbo Lava Lava alikuwa anawataja mademu na pia akam-mention Lokole means Dabliyusibii wanajua kama jamaa ni mchele mchele wali nazi mchicha mwiba mkasi ngapulila.nadhani anamaanisha domo. mimi nilishawahijiuliza kwa nini amemwajiri lokole kama na yeye sio mchele mwiba.
Anavaa kikuku???????Yule anayevaa kikuku wakati ni mwanaume,anasuka ,analamba lamba midomo,
Alupanda ghorofani kuangalia movie