Kwanini idadi kubwa ya wasanii wa bongo wengi wao wanadai kutelekezwa na baba zao na sio mama zao?

Kwanini idadi kubwa ya wasanii wa bongo wengi wao wanadai kutelekezwa na baba zao na sio mama zao?

kimarabucha

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2017
Posts
791
Reaction score
621
Wadau nimekuwa nafuatilia historia za maisha ya WASANII wetu Wa Bongo.Idadi kubwa ya hao WASANII ukisikia historia za maisha yao utaisikia Baba alinitelekeza nikalelewa na mama Kwa shida sana.Sijawahi kusikia msanii anasema Mama alinitelekeza nikalelewa na Baba au Mjomba.Mfano ni msanii Diamond , Qchief,n.k.Je hii imekaaje wadau?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vi vigumu mama kumtelekeza mtoto,japo wapo wanaofanya hvo.

Philips X2560
 
Mara chache sana kwa mama kumtelekeza mtoto......ni kwa ujumla,,,sio kwa wasanii ya bongo fleva tu.

Pia wazee wengi huwa hawasupport juhudi za vijana wao kwenye bongo fleva wakiamini ni uhuni na sio kipaji... .........Lakini mama Mara nyingi ni MTU wa kumtia moyo mwanae.


God bless you all mothers!!
 
Mama mmoja tu 100%

Baba anaweza kuwa wabandia

Hakuna namna mama nihuyohuyo hata akutupe
 
Wanawake wengi walipigwa mimba na wakashindwa kupambanua mimba ni ya Nani wengi hujikuta wanamsingizia mwanaume kuwa mimba ni Yake kumbe sio

Wanaume wapo makini sana kwenye jambo la kulea mtoto asiye wake
 
Kwasababu wababa baadhi yetu tunafikiri kuwa baba ni ile tu kumkojolea shahawa mwanamke na kumuacha akitaabika na ujauzito hadi mtoto kuzaliwa na kumtunza
 
tatizo wakina mama wengi waongo anaweza kuletea mwana wa nje akamwita siri moyoni
 
Kwakua msanii ni kioo cha jamii
Kwakuwa kioo huakisi taswira
Hivyo basi jamii ha Tz ndio jamii inayo ongoza kuwa na wazazi wakiume wasaliti.
 
sio bongo tu ,ata mbele
alicia keys
justin bieber
kanye west
big sean
watu wanakuwa hawajajipanga
 
Back
Top Bottom