Mara chache sana kwa mama kumtelekeza mtoto......ni kwa ujumla,,,sio kwa wasanii ya bongo fleva tu.
Pia wazee wengi huwa hawasupport juhudi za vijana wao kwenye bongo fleva wakiamini ni uhuni na sio kipaji... .........Lakini mama Mara nyingi ni MTU wa kumtia moyo mwanae.
God bless you all mothers!!