Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
DuhNi juhudi za mama samia
Asee nikweliKila kitu kimeshapimiwa kiasi chake, hata huko porini simba hawajawahi kizudi idadi ya swala!
Nafikiri mwenye ulimwengu aliweka kila kitu kwa balance yake
Lakini duniani total population tumewapita wanawake kidogoKwenye sikukuu za xmas au mwaka mpya ukisikia idadi ya watoto waliozaliwa unakuta wa kiume ni wengi kuliko wa kike. Lakini survival rate ya mtoto wa kiume iko chini kuliko ya mtoto wa kike, the same applies to life expectancy ya adult men. So ndio maana wanawake wanakuwa wengi kidogo.
Vifo vya wanaume ni vingi sana tena vijana