Kwanini ikitokea delay au hitilafu kwenye SGR huwa haitolewi taarifa kwenye vituo na treni husika?

Kwanini ikitokea delay au hitilafu kwenye SGR huwa haitolewi taarifa kwenye vituo na treni husika?

mendex

Senior Member
Joined
May 13, 2015
Posts
175
Reaction score
277
Habari wana jamii forum.

Kwa nini pindi inapotokea hitilafu katika treni ya SGR huwa ni vigumu kwa TRC kutoa taarifa kama wafanyavyo mashirika ya ndege.

Unakuta treni ilitakiwa kufika kituo fulani muda fulani lakini inachelewa zaidi ya nusu saa au saa nzima lakini taarifa haitolewi vituoni kutaarifu abiria/wasindikizaji.

Leo kumetokea hitilafu treni ya saa 10 kutokea Moro/Dom kwenda Dar imesimama Ngerengere zaidi ya saa nzima na treni hiyo hiyo ndio inabidi irudi Dodoma saa moja usiku.

Logistics and Transportation is all about the communication and feedback. Inasikitisha sana. TRC badilikeni jamani.
 
Back
Top Bottom