KyemanaMugaza
Member
- Jan 7, 2025
- 89
- 138
Hodi humu jamvini, Heri ya mwaka mpya wakuu, Mi ni mgeni kwa hii Id na ndo mara yangu ya kwanza kupost uzi.
Kama kichwa cha uzi kisemavyo , Kwa zaidi ya miaka 30 nimekuwa mfatiliaji wa habari za ndani na kimataifa.
Sijawahi kuona au kusikia ikulu yoyote hapa duniani ikikumbwa na majanga ya asili mfano mafuriko, sunami au tetemeko la ardhi au volcano, je.
1. Huwa zinajengwa mahali salama sana kuliko makazi yoyote ya binadamu wa kawaida?
2. Au huwa na zenyewe zinapata hayo majanga ila watu wa kawaida hatupewi hizo habari?
3. Kuna yeyote ambaye ashawahi kushuhudia au kusikia popote juu ya uwepo wa matukio hayo?
4. Kama ishawahi kutokea na hizo habari zikafichwa kwa nini iwe hivo?
Naomba kuwasilisha