Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Wakubwa wenzangu poleni kwa kazi.
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda Sasa.
Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo?
Naliamini sana jukwaa hili kuna watu wajuzi wa Mambo mengi na washauri wazuri.. nikihitaji kuweka nizingatie nini na nini?