Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 367
Lady, nadhani anaisema Ilala (sehemu) na siyo Ilala (wilaya). Kuna hiki kipande cha kuanzia hapo Karume mpaka Buguruni. Hako kakisehemu kenye watu marangi-rangi kwa wingi.Umechanganya vitongoji na wilaya, sijui hata tukusaidiaje. Itoshe tu kusema Wilaya ya Ilala na Kinondoni, ziko juu kwa burudani, zikifatia Temeke na Kigamboni.
Lady, nadhani anaisema Ilala (sehemu) na siyo Ilala (wilaya). Kuna hiki kipande cha kuanzia hapo Karume mpaka Buguruni. Hako kakisehemu kenye watu marangi-rangi kwa wingi.
Nyinyi ndo hamjamuelewa, Ilala ni wilaya lkn pia ni sehem ndani ya wilaya ya ilala kama ilivo Tabata, Kkoo n.kUmechanganya vitongoji na wilaya, sijui hata tukusaidiaje. Itoshe tu kusema Wilaya ya Ilala na Kinondoni, ziko juu kwa burudani, zikifatia Temeke na Kigamboni.
Point takenIlala imejaa wapemba,waarabu na wale ndugu zetu wa imani ile,huwezi kufungua hizo biashara maeneo hayo kirahisi japo huwa wanafuata starehe Tabata
Umenielewa vema na hiyo ndio IlalaLady, nadhani anaisema Ilala (sehemu) na siyo Ilala (wilaya). Kuna hiki kipande cha kuanzia hapo Karume mpaka Buguruni. Hako kakisehemu kenye watu marangi-rangi kwa wingi.
AsanteeeNyinyi ndo hamjamuelewa, ilala ni wilaya lkn pia ni sehem ndani ya wilaya ya ilala kama ilivo tabata,kkoo n.k
Unakaribia kuelewaLabda unataka tuseme kuanzia sheli, bungoni, malapa, kwa mnyamani, amana, sokoni, karume au ilala ipi?
Hamna miujiza Ilala majority ni waislamu wa itikadi kali za kidini. Hamna atakaeukupa space ufanye mambo ya kikafiri kama kufungua bar ama danguro la malaya.Wakubwa wenzangu poleni kwa kazi.
Nimekua nikijiuliza swali hili kwa muda Sasa.
Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni,na Temeke kidogo?
Naliamini sana jukwaa hili kuna watu wajuzi wa Mambo mengi na washauri wazuri..nikihitaji kuweka nizingatie nini na nini?
OkHamna miujiza Ilala majority ni waislamu wa itikadi kali za kidini. Hamna atakaeukupa space ufanye mambo ya kikafiri kama kufungua bar ama danguro la malaya.
Kama hio haitoshi hao wenyeji ndio primary customers sasa kama hawaji kutumia huduma hio unafikiri utajiendeshaje?