Kwanini iliitwa Ngome ya Yesu?

Kwanini iliitwa Ngome ya Yesu?

Shy land

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2013
Posts
6,208
Reaction score
2,767
Nimesoma historia kunasemekana kulikuwa na ngome ya Yesu ambayo ilijegwa na wareno kule Mombasa nchini Kenya.

Swali langu, kwanini ilitwa ngome Yesu?
 
Area choosen, geographicaly was coral ridge the name Jesus was given in an Obvious religion reference..
Beside it is the Great Cistern, which was filled with water from the roof of the Church. It was built in the shape of a man (viewed from the air), and was given the name of Jesus. Kwa maelezo zaid tembelea hapa http://en.wikipedia.org/wiki/Fort_Jesus Binafsi nimetembelea pale kwel kwa juu shape yake kama mtu! na ndo maana kupewa jina la Yesu afu mle ndan kuna kasehemu palikua kanisa..
 
ELATE

... fuata hiyo link utapata kitu... usipoelewa takuekeleza ya ziada.. soma sana kwenye reasons hapo
 
mi nahisi walitumia ngome ya yesu ili iwe kwepesi kwa wakoloni kutawala kwa kutumia jina la yesu.
 
Back
Top Bottom