RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Kuna matangazo fulani ya magumashi (fraud) huwa nayasikia kwenye redio. Kinachonisgangaza matangazo haya yote wanatumia lafudhi ya kabila fulani. Ina maana kabila hili ndio kinara wa magumashi?
Ukitaka kunielewa sikiliza tangazo fulani la bima ya afya kuna mzee anatumia kadi sio yake,lingine ni la tume fulsni ya haki za walaji muuza duka kauza bidhaa feki bila risiti na anagoma kurudisha.