Hahaaaaaaa wachaga ndo zetu...si bora hiyo 800 ununue gazeti ujipepeee!
Kuna matangazo fulani ya magumashi (fraud) huwa nayasikia kwenye redio. Kinachonisgangaza matangazo haya yote wanatumia lafudhi ya kabila fulani. Ina maana kabila hili ndio kinara wa magumashi?
Ukitaka kunielewa sikiliza tangazo fulani la bima ya afya kuna mzee anatumia kadi sio yake,lingine ni la tume fulsni ya haki za walaji muuza duka kauza bidhaa feki bila risiti na anagoma kurudisha.
Ndio mkuu na ndio maana hata ikulu hatutakiw kwenda ...walitutest tu tra ona tulivyojaza ndugu kuleahaa kumbe ni nyinyi...ina maana ndio mnaongoza kwa upigaji?
Hapana. Kwani vipi?
Negative