JUDIKAY
Senior Member
- Jul 20, 2021
- 104
- 157
Kwanini mnatumia nguvu kubwa namna hii kulazimisha chanjo? Kama ni kwa faida yetu kwanini mtumie nguvu namna hii?
Sasa hivi mmeamua kuedit cheti fake cha Gwajima kuonyesha amechanjwa, ila mmechemka tarehe maana tarehe hizo chanjo ilikuwa haijaingia Kenya wala Tanzania
Mmefeli tena.