Kwanini mnatumia nguvu kubwa namna hii kulazimisha chanjo? Kama ni kwa faida yetu kwanini mtumie nguvu namna hii?
Sasa hivi mmeamua kuedit cheti fake cha Gwajima kuonyesha amechanjwa, ila mmechemka tarehe maana tarehe hizo chanjo ilikuwa haijaingia Kenya wala TanzaniaView attachment 1878892
Mmefeli tena.
Hiyo nguvu inatumika wapi? Wengine tumekwenda kuchanjwa chanjo haipo:
View attachment 1878935
#COVID19 - Corona: Bila Makavu itaondoka na Wengi
Mitaani misiba imekuwa mingi sana. Kwingine habari za mochwari kufurika zinasikika. Maprofesa na hata vigogo ni baina ya wahanga. Moja ya vipimo vya uhalisia wetu kuhusiana na huu ugonjwa ni hiki hapa: Babu Loliondo aliachwa kukusanya wagonjwa wa Corona nyumbani kwake pasipo na kuwepo...www.jamiiforums.com
Umeenda Kituo gani ukakosa?