Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.
Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.
pole ni kawaida tu hayo 'maumivu'
kwa sisi wanaume huwa tunaumia kwa kuhisi 'tulipaswa kuwa makini kuchagua'
au kuona 'mabadiliko' mapema....
tunaumia kama ambavyo unaumia mwizi akija kwako na kukuibia 'nguo ambayo huivai'....
na pengine ulitaka kumpa mtu....unaumia tu...
[/COLOR]Pole sana,huna haja nae kabisa kwannavyo elewa mimi nikua humtaki tena unalako na yeye ana lake sasa mambo ya u cant let him go inahusu nini? mme achana sababu tabia zenu hazi waridhishi nyie wenyewe na mkaamtua naiwe basi,au unamanisha wewe bado kisebu sebu?
[h=1]There is nothing either good or bad, but thinking makes it so" - Shakespeare [/h]duh my dear unaniongezea maumivu... pengine huwa nawaza mie ndio nilikuwa nguo ninaependwa kuvaliwa popote, sasa sina thamani... loh it hurts so bad!
Sasa kama hali imefikia hapo unataka msaada gani tena?Nilikuwa na mpenzi tulipenda sana, lakini kwa muda sasa mambo yamekuwa hayaendi sawa kabisa, amenipitisha kwenye mambo mengi magumu na tumechokana na tumeamua kuachana kwa kweli sina haja nae kabisaaaa! lakini I feel so sad, its like I cant let him go! any help to overcome this please.
Sasa kama hali imefikia hapo unataka msaada gani tena?
Heshimu mawazo yako, na tafuta mungine broda!
It's ok to feel bad... Si mmekaa sana? Kuachana ni failure, hata kama mmekubaliana. Ila ni a new start pia. Usiangalie nyuma, angalia mbele. what do you want to do now? kuendelea kujiskia vibaya even after the break or kuanza kufurahia your newly recovered individuality? Kuna vitu ulikua unafanya/haufanyi kwa sababu yake, it is time to find out kama unataka/hutaki kuvifanya. Just become yourself again... and meet new people, new friends!
Nimekumbuka hii ' I don't feel bad when I see my ex with someone else, coz my mom taught me to share my old toys with the less fortunate'
Halafu fikiria hii, wakati mwingine nothing is good enough even though they say less is more!
oh my my... nimekusoma mzee loh nimecheka kwa uchungu!
mkwe wangu king'asti ni kabinti hako. Sio kazee. Lol.
asante kwa kuwa muwazi, ni kweli wengi wakiachana na wapenzi wa awali wasipokuwa makini huangukia pabovu zaidi nakujiletea maumivu ya moyo na ht kuharibikiwa kimaisha ya mapenziPole sana usihangaike au kuchakarika kutafta mwingne kwa sasa..jitulize kwanza manake utaweza kuingia mkenge kutfta mtu ukakuta ni balaa kuliko wa kwanza nae utamuacha mwisho wa siku utakuta unachakachuliwa tuuuu na bado usipate mtu wa maana...ukifika hapo utaanza kuwa mzinifu na kupoteza mkondo wa maisha..now tulia manake sisi wanaume huwa tunapenda sana wadada kama wewe wenye wakati mgumu tunajifanya kujali tukipiga mashine tu wai...simu haipokelewi tena..watch out..
mkwe wangu king'asti ni kabinti hako. Sio kazee. Lol.