bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Yanga hawa hawa utopolo ambao wanasheherekea juzi wamepostiwa na ile timu kutoka la liga, yanga hii mganga anaheshimika kuliko mchezaji au unazungumzia yanga ipi🚶♂️Vita Kama mechi za Yanga na simba ni kuoteana tu
Yanga hawa hawa utopolo ambao wanasheherekea juzi wamepostiwa na ile timu kutoka la liga, yanga hii mganga anaheshimika kuliko mchezaji au unazungumzia yanga ipi🚶♂️
Sawa nilikuwepo🚶♂️Ww umeweka ushabiki ,tafsiri yangu siyo hiyo.
India alisaidiwa na israelBila kusahau vita ya 1971 Pakistan alisaidiwa na UK, US , Iran nk ..lakini bado India akabeba ushindi.
India inatajwa kuwa ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya wanajeshi na moja ya nchi zenye kumiliki silaha za nyuklia.Hata hivyo kila inapotokea kupigana na kushambuliana na majirani zake basi hushindwa vibaya mpaka ikabidi kuonewa huruma na adui yake.
Mfano katika mashambulizi mwishoni mwa mwaka jana na jirani na hasimu yake mkubwa,Pakistan kwanza ndege zao zilikosea shabaha na wakatoa takwimu bandia ambazo baadae zilikanushwa kwa ushahidi na Pakistani.
Katika mashambulizi yale rubani wake mmoja alitunguliwa na Pakistan na kushikwa mateka mpaka pale Pakistan walipoona huruma na kumrudisha kwao akiwa amenyongeka kwa aibu.
Juzi tena katika kushambuliana eneo la Ladakh mpakani na China walipigwa kwa magumi na mafimbo mpaka askari wake India wapatao 20 wakafa na idadi nyengine kushikwa mateka na China na hatimae kuachiwa huru hapo jana.
Katika mapigano hayo India bila aibu imekubali kuwa askari wake 20 kweli waliuliwa na China na wala haikusema iwapo waliweza angalau kumjeruhi angalau mmoja wa upande wa pili.Sijui ingekuwaje kama China wangeamua kutumia silaha za moto.
😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃😄😄😄😄😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😀😀😀😀😀😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😃😃😃😃😃😃😃😃😄😄😄😄😄😄😄😄😄😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😇😇😇😇😇😇😇😇😁😁😁😁😁😁😁😁😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 oo oo oo oo ops my mbavu 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 duh Alhamdulillah nimeianza siku vizuriKuna nyingine taarifa sijui nilisoma sehemu nimepasahau! Inahusu India walirusha na wenyewe Ile kitu inayoendaga mwezini, sasa bwana sijui walicheck kwenye computer science zao.
Wakasema mwezini kuna maji mengi sana! Lakini Pakistan wakaja kukanusha na kuutangazia ulimwengu kwamba mbona kitu chao hicho cha India kimeanguka kipo baharini. Sasa wenyewe India walijua mwezini kuna maji kumbe kitu kipo baharini kimeanguka🤣🤣
Kachori azijawahi kuwaacha salama kina kanjibai mdebwedoIndia inatajwa kuwa ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya wanajeshi na moja ya nchi zenye kumiliki silaha za nyuklia.Hata hivyo kila inapotokea kupigana na kushambuliana na majirani zake basi hushindwa vibaya mpaka ikabidi kuonewa huruma na adui yake.
Mfano katika mashambulizi mwishoni mwa mwaka jana na jirani na hasimu yake mkubwa,Pakistan kwanza ndege zao zilikosea shabaha na wakatoa takwimu bandia ambazo baadae zilikanushwa kwa ushahidi na Pakistani.
Katika mashambulizi yale rubani wake mmoja alitunguliwa na Pakistan na kushikwa mateka mpaka pale Pakistan walipoona huruma na kumrudisha kwao akiwa amenyongeka kwa aibu.
Juzi tena katika kushambuliana eneo la Ladakh mpakani na China walipigwa kwa magumi na mafimbo mpaka askari wake India wapatao 20 wakafa na idadi nyengine kushikwa mateka na China na hatimae kuachiwa huru hapo jana.
Katika mapigano hayo India bila aibu imekubali kuwa askari wake 20 kweli waliuliwa na China na wala haikusema iwapo waliweza angalau kumjeruhi angalau mmoja wa upande wa pili.Sijui ingekuwaje kama China wangeamua kutumia silaha za moto.
India ni taifa lenye nguvu kubwa kijeshi hapo Asia Kusini angalia historia yake ya kijeshi na hasimu wake Pakistan.Wale wanajua kucheza Nachi tu,,,vita siyo hobby yao,,mchina aliwatembezea kipondo hatari,,na wahindi ndo walimfata mchina kambini
katika vita ya juzi China pia walikufa askari zaidi ya kumi.India inatajwa kuwa ni moja ya mataifa yenye idadi kubwa ya wanajeshi na moja ya nchi zenye kumiliki silaha za nyuklia.Hata hivyo kila inapotokea kupigana na kushambuliana na majirani zake basi hushindwa vibaya mpaka ikabidi kuonewa huruma na adui yake.
Mfano katika mashambulizi mwishoni mwa mwaka jana na jirani na hasimu yake mkubwa,Pakistan kwanza ndege zao zilikosea shabaha na wakatoa takwimu bandia ambazo baadae zilikanushwa kwa ushahidi na Pakistani.
Katika mashambulizi yale rubani wake mmoja alitunguliwa na Pakistan na kushikwa mateka mpaka pale Pakistan walipoona huruma na kumrudisha kwao akiwa amenyongeka kwa aibu.
Juzi tena katika kushambuliana eneo la Ladakh mpakani na China walipigwa kwa magumi na mafimbo mpaka askari wake India wapatao 20 wakafa na idadi nyengine kushikwa mateka na China na hatimae kuachiwa huru hapo jana.
Katika mapigano hayo India bila aibu imekubali kuwa askari wake 20 kweli waliuliwa na China na wala haikusema iwapo waliweza angalau kumjeruhi angalau mmoja wa upande wa pili.Sijui ingekuwaje kama China wangeamua kutumia silaha za moto.
Si unaona hata matapeli wakitaka kuchukua kutoka kwa wahindi huwaendea kama askari.Mambo ya vita na ugomvi hawapendi.Wakitaka kujionesha kidogo basi huenda kule Kashmir wakakamata mpaka akinamama .Wale wanajua kucheza Nachi tu,,,vita siyo hobby yao,,mchina aliwatembezea kipondo hatari,,na wahindi ndo walimfata mchina kambini
India,Nepal ,Bangladesh wanajeshi wako wengi wako Congo, tena maeneo yao yako strong sanaIndia ni taifa lenye nguvu kubwa kijeshi hapo Asia Kusini angalia historia yake ya kijeshi na hasimu wake Pakistan.
Hata hapo DRC angalia India ilivyojitolea kwenye kikosi cha MONUC.