Kwanini iwe Mwingira na sio Zitto?

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
59,045
Reaction score
94,974
Shutuma au sijui maelezo aliyoyatoa Mwingira Jana jumapili hayana tofauti na aliyoyasema Zitto.

Zitto ameenda mbali na kusema anawafahamu kwa majina waliotumwa na Utawala wa Magufuli kumchomea nyumba.

Swali, mbona sijasikia mahali popote Zitto akiitwa kuhojiwa? Why Mwingira??
 
Nimeona tuhuma zimetamkwa na Askofu Mwingira, tunaendelea kufuatilia, zinapotolewa na kiongozi maarufu, tunapata shida, kwa nini hatoi taarifa, mpaka yametokea, unakaa kimya, unasubiri Krisimasi ndio unasema, kama ni kweli, tutahitaji atusaidie atupe ukweli- George Simbachawene https://t.co/4VuTUQOoMO
 
Suala mf la Lissu wamefika wapi? Ukiripoti utasaidiwa vipi?
 
Kadri serikali inavyopambana nao ndivyo sumu inaenea kuelekea kutimia kwa mipango.
Mipangi ipi sasa? we all know that religious are there for the code of civilization,nje na hapo ni myth. Alikuwa wapi kutoa shutuma wakati wa magufuri.
 
Zitto ni pandikizi
 
Mipangi ipi sasa? we all know that religious are there for the code of civilization,nje na hapo ni myth. Alikuwa wapi kutoa shutuma wakati wa magufuri.
Mbona risasi za Lisu uchunguzi umejaa kigugumizi? Miaka mingapi mpaka leo. Au mhalifu anajichunguza!!!
 
Ngoja kingai amhoji mwingira vzr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…