Kwanini Jamal Malinzi hakugombea kuiongoza CAF au hana uthubutu?

Kwanini Jamal Malinzi hakugombea kuiongoza CAF au hana uthubutu?

mpiga dili mzoefu

Senior Member
Joined
Dec 28, 2016
Posts
123
Reaction score
104
Naomba mnijuze,

Kwa hili nimefurahishwa na jinsi Malinzi alivyoitetea Zanzibar na je atachukuliwa hatua gani na serikali? Kwani ameonesha nyufa kwenye muungano.
 
Kule hauna ubabaiahaji kule all africa sio kibongobongo
 
Back
Top Bottom