J junno Member Joined Sep 5, 2022 Posts 18 Reaction score 18 Feb 2, 2023 #1 Kwanini Jamiiforums haina matangazo kama tunavyoona blogs nyingine zinavyoendeshwa wanagenerate vipi mapato yao wanatumia vipi hawa wafuasi wao kuwa na fedha kwa kupitia matangazo madogomadogo wataalamu kikao kianze.
Kwanini Jamiiforums haina matangazo kama tunavyoona blogs nyingine zinavyoendeshwa wanagenerate vipi mapato yao wanatumia vipi hawa wafuasi wao kuwa na fedha kwa kupitia matangazo madogomadogo wataalamu kikao kianze.
Restless Hustler JF-Expert Member Joined Apr 9, 2017 Posts 5,150 Reaction score 20,025 Feb 2, 2023 #2 Niliwahi kuwa admin wa scooper. JamiiForums ni Kama platform ya scooper. Number of clicks and readingtime ndiyo hela yenyewe.
Niliwahi kuwa admin wa scooper. JamiiForums ni Kama platform ya scooper. Number of clicks and readingtime ndiyo hela yenyewe.