ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Nini kipo behind mbao maana hata Yesu stori yake ya kufa ilibidi msalaba uwe ni wa mbao hata baba yake wa kufikia alikuwa seremala fani ya kuchonga miti. Hata Yuda na ye alijinyonga mtini. Hata Abeli alibarikiwa alikuwa mkulima ana deal na miti mazao ama vegetables.
Jeneza lazima tu liwe material ya mbao hata Ulaya kote huko lazima mbao ihusike kwenye jeneza ndo maana wakasema mpaka sasa hivi hapo ulipo kuna mshenzi anamwagilia mti ambao utatengenezewa jeneza lako.
Siku hizi furniture nyingi tunatoka kwenye mbao mbao ila jeneza tu milele yote lazima mti uhusike na sio metals au fiber.