Yapo ya materials tofauti ni pesa yako tu Mkuu. Lakini mbao inatumika kwa wingi sababu ya upatikanaji wake na urahisi kuoza
Yesu ilitumika mbao/miti sababu jesus was simply a man of his era, ilibidi iwe hivo hawakuwa na means nyingine, hili swali lako ni sawa na mtu aulize ni kwanini leo tunavaa boxer