Kwanini Jerusalem kila mtu anaililia wakati kuna miji mizuri kuizidi?

Kwanini Jerusalem kila mtu anaililia wakati kuna miji mizuri kuizidi?

Judah Tribe

Senior Member
Joined
Sep 1, 2024
Posts
159
Reaction score
594
Kama swali linavyo uliza kwanini mji wa Jerusalema kila mtu anaulilia kuna siri ipi iliyopo jerusalema wakati ukiangalia duniani Kuna miji iliyo jengwa kuzidi jerusalema.

Naandika haya nikijionea kwa macho yangu palestina wanaulilia jerusalema kwa kusema ni mji wao mkuu hata ukija katika suala la wakristo na Waislam kila mtu anaulilia jerusalema mji huo.

Je, Doha au Dubai ni miji mizuri kuizidi yerusalem kwanini watu hawaililii miji hii au new York city au Paris why jerusalema

Hata BABA YETU YESU KRISTO KWANINI ALIPO UONA MJI WA YERUSALEM ALIULILIA na "kusema eh Jerusalem laiti ungelijua yakupasayo Amani yamejificha kwa sababu hukuutambua wakati". Kwanini Kila mtu anaulilia Jerusalema.

Hata ule wimbo WA south afrika wanaimba "ilondoloze jerusalema ikhaya lam" kwanini muimbaji anaulilia jerusalema wakati cape town Ni mji mzuri kuliko jerusalema?

Nawasilisha wajuzi mnijulishe kwa faida ya wengi.

The best places to take photos in New York.jpeg
 
Back
Top Bottom