Kwanini Jeshi la kongo au watu wakongo hawapigani kama Hamas au Wavietnam? Ni dhaifu kiasi hicho? woga au ni kukosa imani

Technophilic Pool

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2024
Posts
2,597
Reaction score
3,965
Kushinda vita siyo Nguvu,siyo silaha,Siyo technology!

Kati ya kitu ambacho kinahitajika kwene mapigano yyte yale n SPIRIT /IMANI.

Imani yakutoshindwa, Imani ya kutoa kila ulicho nacho kupigana
Imani ya kutumia mbinu zote ulizonazo.

Najua wajuaji watabisha ila NIAMININI MM! Kati ya vitu hatari duniani ni kupoteza iman.

Mifano:
Nani alijua Marekani ingeshindwa na Vietnam??

Nani alijua Hamas leo bado watakua hai wanajipanga kukinukisha tena ( mi siyo shabiki wa hili kundi n mfano)

Nani alijua Marekani na Soviet zingeshindwa afghastan nani??

Nani alijua kama Korea Kasikazini ingewashinda Marekani na Korea kusini pamoja na maelfu ya mabomu.

Ama nani alijua kama Fidel castro wa nchi ndogo kama pilitoni Cuba angewashinda marekani kwa miaka yake yote.

Mifano ni endless

Nani alijua hayo!!

NAKILI KUSEMA JESHI LA KONGO NI DHAIFU KWASABABU LIMEKOSA IMANI MORALI NA HALIJITOI KWA KILA KITU KISHINDA.

Blue Lee kutoka china Mtaalam wa Kung fu duniani aliwai kusema:

“HAPA DUNIANI NAMUOGOPA MTU MMOJA TU, YE ALIYETAYARI KUTOA KILA KITU ILI KUSHINDA”

Kweli waasi wanaingia mjini na mabasi raia wanaangalia Hamna hata kuvamia gari kwa mawe mapanga na kila siraha.

Hamna hata wakujilipua bomu hapo kufa na waasi mia.
Wakongo mmetuangusha sana
 

Attachments

  • 5FD240D4-E4C7-4BA9-A45F-185448EC82DA.jpeg
    618.3 KB · Views: 2
NI watu wa kutomboka
 
Bakongo hawana ahadi baada ya maisha haya. Hamas wako na ahadi kem kem kuzimu huko that make them so courageous.
Wavietnam walikua wana ahadi gan???
Au wajapan walikua na ahadi gan
 
Kuhusu Vietnam bila shaka muvi zimekudanganya sana

nenda kafanye research kwenye tovuti mbali mbali za vita na historia utapata ukweli.

USA alikimbia uwanja wa vita vetnam na kusepa baada ya kuuwawa wanajeshi wake 50,000

Na majenerali 12.

Rais wa marekani aliogopa baada ya kuuwawa jembe lake
Major General George William Casey Sr . Ndipo akaamua wakakimbie vita

Hiyo ndio vita pekee ambayo USA walikubali kukimbia uwanja wa vita.
 
Mimi hata hapo boda kasumbalesa sijawahi kufika, sina cha kusema kaka
Sasa mbona unasema movie zimenidanganya!
Hizo movie zimeigizwa na marekani wenyewe!
Na hii vita marekani ilishindwa ikafunga virago kurudi kwao
 
Spirit ya wavietnam ni nomaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…