Kwanini jey key ulinisomesha?

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Nashndwa kukuelewa raisi wangu,kwa nini umewekeza mamilioni ya shilingi kwa kunisomesha mwisho wa siku unaniacha na hang kama kondoo asiye na mchungi.
>kwani ulikua na lengo gani nami?
>kwa nini hukunitaarifu mapema kama hali ndio itakuja kuwa hivi?
>je? Unaweza tembea kifua mbele kuja kunidai mkopo?
 
Yeee, pyehaaaa(kikorea icho)...
andwetaaa(pole)
 
Mkuu pole sana ila vumilia tu ipo siku utatoka. Mungu hamtupi mja wake na elimu haidangayi mkuu utafanikiwa tu vuta subra.
 
Mkuu nyaubwii nashukuru sana,ngoja tuvute subra tuone inakuwaje.
 

Mkuu mshukuru Mungu kwa kupata elimu na sio kulaani. Jaribu kutumia elimu yako vizuri mtaani kwa kufanya haya.
1. Ukimaliza tu chuo hautakiwi kuchagua kazi, kama unaweza hata kazi isiyo ya profesheni yako fanya tu huku ukiendelea kutafuta kazi uliyosomea kwani maisha hubadilikabadilika.
2. Ukibahatika kupata kazi uliyosomea hata km unalipwa mshahara mdogo fanya ili upate experience hii itakusaidia kuifanya CV iwe nzuri zaidi.
3. Baada ya kupata kazi yako ulosomea anza kufikiria ni jinsi gani waweza kujiajiri ndani ya profesheni hiyo hiyo.
 
Kwanza naona hata bado hujaelimika cha kutosha huyo jk ndiye alikusomesha au taifa limekusomesha kupitia kodi tunazokatwa,kama ungejua ni kiasi gani tunakatwa hasa sisi wafanyakazi wa kuajiriwa usingesema pumba zako,nina mashaka sana na u great thinker wako
 
sie wa enzi za mwalimu unatoka chuo unachagua uende wapi kazini..dogo komaa upekeche akili dunia sio flat.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…