Kwanini jezi ya Ibrahim Ajibu Migomba inauzwa bei kubwa sana ukilinganisha na ya Niyonzima?

Deadbody

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2015
Posts
4,274
Reaction score
6,595
Nilishangaa sana nilipoenda dukani Kkoo na kuambiwa
  • Bei ya jezi ya Ajibu 35000/
  • Bei ya jezi ya Niyonzima 12000/

Kiukweli nilishangaa sana nikaamua Kwenda Karume na Ndio nikakutana na bei hizi pia
  • Jezi ya Ajibu 30000/
  • Jezi ya Niyonzima 10000/ ila punguzo mnaongea
Naomba kujua huko ulipo wanauzaje hizi jezi?
 
Kuna watu utawachefua mkuu. Ngoja nianze kuwapimia majibu yao [emoji102]
 
Bei kubwa ni TZS 35000? ndiyo maana mpira wa bongo ni bongolala
 
Ngoja Nikufahamishe Kitu!
Wewe inaonesha Hujawahi Kununu Kitu Cha Used Kwa Mfano TV au Computer...!

Unaweza Kwenda Dukani Ukauliza Bei Ya TV ukaambiwa 200,000/=
TV hiyohiyo akenda Mwengine Atauziwa 300,000/=

Hivi Ndiyo Walivyo Wafanya Biashara Wanapomuona Mtu wa Mjini na Wa Mkoani Katika Kumuuzia Kitu...
Tabia hii hata Maduka Ya Simu Wanayo Kukuchomekea Bei Kulingana Na Appearance Yako tu!!!

Sasa inaonesha Wazi Mashabiki Wa Timu Fulani Ni Limbukeni Kwa Vitu Vidogo tu.. Kwahiyo Wafanya Biashara Wameona hii ndiyo Nafasi Pekee Ya Kuwapiga Dili kwa sababu Hawajielewi na Hawazijui Biashara za Mjini...
Watawapandishia Mpaka Watawauzia Kwa 50,000/= na Watanunua Kwa Sababu Bado Wanatongotongo za Mkoani..

Lakini Kwa Upande Mwengine Mashabiki Wa Timu Fulani Ni Watoto Wa Mjini Na Wajanja Wanaoelewa Mno Biashara Ya Mjini Hususan Maeneo Ya Kariakoo na Ndiyomana Hata Club Yao ipo Mjini tofauti na Hile iliyopo Kule kwenye Kuvuliwa Kambare..

Sasa Huwezi Kuwajia na Bei za Kiajabuajabu ukasema uwalangue! Hilo Haliwezekani kwani Bei za Mjini Wanazijua...

MKUU NAKUSHAURI UNAPOKWENDA KUNUNUA JEZI YA AJIBU FUATANA NA MJANJA WA MJINI NA USIENDE PEKE YAKO NAKUAHIDI UTAUZIWA KWA BUKU 10 TU..
 
angalia maneno ya kuandika mkoani ndo wap yawezekana ww mwenyew umezaliwa kambi ya fisi mbulu leo unajiita wa mjini
 
uongo mtupu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…