Kwanini JF hamkopi kwenye App za mtandaoni?

Kuna siri kubwa sana ipo ndani ya hizi App za mikopo siku mtakapoijua mtakimbia, mm sipo nilipoifahamu nililewa siku tatu kwa depression
 
Tupe siri Mkuu.
Kaeni mbali na hizo App kwasababu wana Access file za simu yako picha, documents, audio, namba, meseji, call wanazitumia kwenye uhalifu wao
Ndio maana wanapokudai wanakuwa na uwezo wa kupigia watu wako wa karibu kwa mfano mwepesi ni kuwa wanavua chupi simu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…