whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Mtatumia mbinu nyingi kutaka tujulikane lakini mtachemsha .....Unaweza mkuta member wa Jf anatumia mitandao mingine kama facebook,twiter na kwingine lakini kote huko anatumia jina lake halisi na ameweka hata baadhi ya taarifa zake wazi.
lakini unapokuja ndani ya himaya ya maGREAT THINKER wengi wao ni waoga hata kuweka majina yao au picha zao au hata kueleza walikosoma,wanakoishi au hata wanakopendelea kutembelea.
hapo bado utakuta member wengi siyo wanaopost labda thread za kutisha ama kukosoa serikali,lah.
KWANINI HAYO HUTOKEA AU KWA SABABU YA SHERIA YA Jf KURUHUSU FAKE ID ?
Mala weka sehemu unakotoka umpate rafiki memba wa jf
bado upo tengeru? farasi zipo?tunajiitaje mashujaa na hatutaki kufichua sura zetu,mbinu rahisi ya kumpiga adui yako ni kuvaa gwanda lisilo na bullet proof
Watu wana mbinu sijawahi onaMala weka sehemu unakotoka umpate rafiki memba wa jf
Ooo weka jina lashule yako ya msingi uwapate ulio sijui nini......
Baada ya kukosa,
Oooooh jf ni waoga
Sasa kinachofuata hapa, sijui
Ni oooo
Utasikia nini sijui nini....
Bado kutuambia tuweke picha za viganja tuone kama vinafanana na mwenzioMala weka sehemu unakotoka umpate rafiki memba wa jf
Ooo weka jina lashule yako ya msingi uwapate ulio sijui nini......
Baada ya kukosa,
Oooooh jf ni waoga
Sasa kinachofuata hapa, sijui
Ni oooo
Utasikia nini sijui nini....
Twin ukiambiwa weka picha ya kisogo chako kataaMnakuja kwa kasi sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naomba yako mimi nashida na vagina tuTwin ukiambiwa weka picha ya kidogo chako kataa
[emoji23][emoji28][emoji23] ntawawekea cha mbwa wangu tu amna nomaBado kutuambia tuweke picha za viganja tuone kama vinafanana na mwenzio
Mimi sasa hivi nilishazima hata kamela yangu ya mbeleBado kutuambia tuweke picha za viganja tuone kama vinafanana na mwenzio
Hapo ndio watajua aliegundua kufuli, mwenzake aligundua funguo malaya.
Wewe nissani nyeupe etitunajiitaje mashujaa na hatutaki kufichua sura zetu,mbinu rahisi ya kumpiga adui yako ni kuvaa gwanda lisilo na bullet proof
Unataka kubeba mabomu?
Kwanza nenda kajifunze maana ya online forum.ukishajua ndo utaelewa kuwa kuna utafauti kati ya jamii forums na hizo soshonetweki kama fb na insta.ukishajua ndo utafahamu kuwa nyinyi mnaoweka mapicha na majina yenu halisi ndo mnaokosea.
Utaota usikuNaomba yako mimi nashida na vagina tu
Hahahahahah[emoji23][emoji28][emoji23] ntawawekea cha mbwa wangu tu amna noma