Msolid1990
Senior Member
- Apr 2, 2012
- 144
- 50
Kwani pesa yenyewe itakuwa sh. ngapi?Ntahonga watu wachangie thread zangu na wasichangie za wengine.
utawahonga nini? Na utawahongahongaje? inaelekea wewe ni magamba.
Unless wewe ndo ulonivisha hilo gamba naomba samahani yangu.
sorry basi kha! Hutaniwi.
utawahonga nini? Na utawahongahongaje? inaelekea wewe ni magamba.
Mi nashauri jf management wawe wanatoa zawadi kila mwaka kwa member ambaye amepost thead ambazo zimepata wachangiaji wengi. Mfano thread zako nyingi ziwe zinachangiwa na member kuanzia 150+ sio wanachangia watu 20 then inaachwa No!. So hao watu wawe wanatangazwa kwenye media then wanakuwa awarded! Kama vipi waweke namba yao ya M-pesa/tigo-pesa tuwe tunachangia. Afu toa na ushauri tuwe tunaziitaje hizo awards?
Unless wewe ndo ulonivisha hilo gamba naomba samahani yangu.
Hehehehe ahsante.
Haya tuendelee. . . ntawahonga LIKE na Reputation.
vipi? Mkuu wewe ushawahi changia hata sent 1 ya kuiwezesha JF iendelee kuwa on air??
Tatizo privacy mkuuMi nashauri jf management wawe wanatoa zawadi kila mwaka kwa member ambaye amepost thead ambazo zimepata wachangiaji wengi. Mfano thread zako nyingi ziwe zinachangiwa na member kuanzia 150+ sio wanachangia watu 20 then inaachwa No!. So hao watu wawe wanatangazwa kwenye media then wanakuwa awarded! Kama vipi waweke namba yao ya M-pesa/tigo-pesa tuwe tunachangia. Afu toa na ushauri tuwe tunaziitaje hizo awards?
FORUM STATISTICSHivi ile michango mmeshachanguua Jamii Forum au mnapost bure na kutaka zawadi
jamani hii ni huduma wapo wasimamizi wanaotuletea huduma hiyo Shime tuchangie kila mwaka kwa front page inaonyesha tupo 78,800