ndo ilikuwaje iyo? i wish ningeiona...!:crying::crying::crying:
n i kan c u blushing! na utablsuh xana..coz i jus a few days u have accumulated so much fame n respect in this forum kiasi hutakosa sifa kila pahali..itabidi ujizoeze!lol
Halafu hiyo safari ya JF wote huwa inaanza na step moja...mimi na wewe, then wengine na wengine..mpka siku moja tuje kutana wote...ama unaonaje!?? nahisi kama una ka-aibu fulani (also frm ur avatar,lol!)
Mentor i told you you were reading me almost all wrong,
The below is my true Avatar... and I love it!
Mentor i told you you were reading me almost all wrong,
The below is my true Avatar... and I love it!
View attachment 31341
Hii JF kiboko, mi nilikuwa nafanya kazi ofisi moja na jamaa anaongea sana vitu vingi vingi. Nikawa najiuliza jamaa anajuaje yote haya, hasa inapokuja issue za siasa jamaa alikuwa anatukimbiza kweli kweli. Afu kikitokea kitu tu (Breaking News) jamaa anakuja kutuambia hadi tukawa tunadhani jamaa ni usaslama wa taifa kwa sababu alikuwa anatuambia amepigiwa simu na rafiki yake yuko polisi au usalama wa taifa:- Mfano mabomu ya Mbagala, kuvamiwa NMB Temeke, Maswala ya uchaguzi mdogo Tarime na Chato n.k, basi mi nikawa namfanyia timing nijue ye anajuaje mpaka siku nilipoona kwenye screen ya PC yake kuna window ya JF, kwenda kugoogle nikapata kuiona na nikajoin bila yeye kujua. Baada ya hapo akawa kila akileta info nampangua na yale maswali member wengine wa JF wanamuuliza mleta habari, jamaa alipojua nimemshtukia tukawa marafiki kwelikweli.
.
Nimekuwa addicted na JF mpaka home wife ananimind kwamba muda wote ni mimi na internet tu (hii mbaya sana), kwa hiyo pia naombeni msaada wa kupunguza huu ugonjwa wa JF.
JF for Change.
Honey pole for such a tiring activity... and that just for your gal
Thank you... about the promise just relax, finish your work
and will be hungrily waiting... you kno wat i mean
Pope mwenyewe! Hommie wa ukweli niambie bana?have seen only that part babe..
Yeah son.....kind of...
hahahah lol
dahhh sasa jina la mume hapa JF ni nani
hahahah lol
amewahi kusema kitu ukamshika shati mmmhh
mie nakutania mpendwa.. Nimependa sana jinsi ulivyojiunga hahah lol
Code:Mume wangu alikuwa akiingia(jukwaa la siasa) akikutana na thread interesting ananiita niisome,taratibu nami nikaanza kuingia kama guest na hatimaye nikajoin na kujikuta nimejichimbia huku.
Mume alip[enda jukwaa la siasa na wewe huku ulifikaje?
Ngoja ndugu yangu wa ukweli Kaizer aje anaweza kunikumbusha!Hey Kimey as much as your are addressing Kaizer Please try.. would appreciate the effort...
dahhh nawe bwana ..
maswali gani haya jamani?
Hapa hata kukupa ushauri sifai, observe hii record maana am
woriking on my addiction but mimi bahati nzuri mzee yupo safari ya mbali...
but najua akirudi nitarudi katika mstari... maana akina mama hua tuko busy
waume wakiwepo...
Join Date : 16th April 2011
Location : Dar
Posts : 2,399
Thanks:569 Thanked 593 Times in 407 Posts
Rep Power : 29
Pope mwenyewe! Hommie wa ukweli niambie bana?
Mi hata sikumbuki niiliingiaje JF
Good in other words ina maana ni marafiki...
that means you are my friend too (kwa ruhusa yake of coz...lol )
Kaizer atafanya the needful hawezi niangusha...