kbosho
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 13,034
- 6,571
Hello wanajamvi!
Naomba kuliza ni kwanini jiji la Dsm hususani ilala wanatoza Kodi kubwa ya mabango kuliko hata kodi ya mapato ya TRA hata ya halmashauri?
Mfano!
Mtu una biashara mauzo yako kwa siku hayafiki laki na nusu 150,000,
TRA kwa mwaka unalipa around 1,500,00 mapaka 2,400,00.
Kodi ya Leseni 200,000
Kodi ya pango 1,200,000
Hapo bado fire na service lev!...
Chakushangaza kama umeweka bango au stika ya kuonyesha jina na adress ya biashara yako kwenye frame yako Jiji wanakuchaji mpaka million mbili (2,000,000) kwa mwaka na hiyo ni Bango tu.
Hii inaenda kuua biashara nyingi sana. Wengi hawataweza kulipa! Sheria ya mabango inasemaje wadau watusaidie?