Adharusi
JF-Expert Member
- Jan 22, 2012
- 14,422
- 7,350
Nimekua najiulia kwanini jina la waziri wa mazigira halipo katika majina ya baraza la mawaziri katika tovuti ya ikulu wala katibu mkuu kiongozi, je amesahulika, sababu si maaruu,maana huku wanachi hawamjui,
je na walimteua hawamjui, kwanini jina lake halipo au na wao hamfahamu, maana kiukweli hafahamiki.
je na walimteua hawamjui, kwanini jina lake halipo au na wao hamfahamu, maana kiukweli hafahamiki.