mtungu
JF-Expert Member
- Dec 15, 2021
- 270
- 435
Kwa nini hua vinapenda kusumbua usiku ukiwa umelala ni mara chache sana kukuta jino likiuma mchana au sikio ata funza akikuingia kwenye mwili hua anawasha usiku wala si mchana kipindi cha utoto walitutesa sana funza kipi chengine kinachosumbua usiku kuliko mchana