Kwanini Joti anapatia sana matangazo ya Tigo?

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
416
Wakuu nina hoja fupi sana hapa!

Why Joti anapatia sana kwenye matangazo ya Tigo? Alikimbiza na mzee Mwalubadu na sasa anavuruga na hili tangazo la Tigopesa. Joti amewafunika wasanii wote ila ukimtoa Kiba tu upande wa matangazo..
 
Hiyo ndiyo kazi yake inayomuweka mjini sasa avuruge ili iweje??!
 
Wakuu nina hoja fupi sana hapa!

Why Joti anapatia sana kwenye matangazo ya Tigo? Alikimbiza na mzee Mwalubadu na sasa anavuruga na hili tangazo la Tigopesa. Joti amewafunika wasanii wote ila ukimtoa Kiba tu upande wa matangazo..
Hivi unajua Kiba kaamrishwa atoe matangazo ya kuifagilia ccm kwa amri ya timu wema na ni bure wakati joti unayemuongelea kalamba mamilioni ya pesa???????????
 
weka ushahidi tukuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…