Kwanini Joyce Kiria huwa havai pete ya ndoa?

Pete sio ndoa. Wapo wanaojivalia mipete ya ndoa n hata boyfriends hawana. Mimi binafsi hua navaa nkikumbuka.
Ulikubali kwanini kuvalishwa siku ya ndoa? Si ungetoa tamko kuwa pete sio ndoa?
 
Pete sio ndoa especially kny dunia ya sasa ndo maana nkasema wengi wanajivalia n hawana ata boyfriend. Mfano Ukipoteza pete kwan inamaansha ndoa yako imepotea?
 
Kuna sababu gani ya kutovaa wakati unayo? Kwani walioanzisha kuvaa pete walikua wajinga?
 
Izo pete ingekua unapewa unapofungia ndoa sawa lkn unanunua mwenyewe how special it is?? Ndoa ni ww n nafsi yako so ucjidanganye ukikuta m2 kavaa pete ukawa n uhakika 100% kua ni mke/mme wa m2 n viceversa.
 
Hoja yangu iko kwa wasiovaa wewe mtu, sijasema mtu anayevaa anamaanisha nini ila nauliza kwanini uwe nayo usivae?
 
She is still searching........
Mutoto ya kichagga hiyo. Hawa hata wasipoenda shule, wanazaliwa na strategic management kichwani.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] just a joke don't take it serious.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…