Kwanini Jumaa Aweso anaonekana kukubalika zaidi?

saidoo25

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2022
Posts
624
Reaction score
1,456
Kwanini Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anaonekana ni moja ya Mawaziri wanaoongelewa vizuri zaidi ana nini hasa cha ziada tofauti na wenzake?

Itakumbukwa kuwa Aweso ni moja ya mawaziri wapya ambaye alianza majukumu ya Naibu Waziri wa Maji mwaka 2017 na baadaye kuja kuwa Waziri kamili wa Maji.

Huku wengine wakiwa ni wazoefu kwenye uwaziri shida ni nini
 
Wewe ni.yupi kati ya wale!!?
 
Wewe ulitakaje labda
 
Mimi nadhani kinachombeba Aweso ni kwa sababu ni Mtoto wa Mama Ntilie na hakutokana na mfumo wa kutumia jina la Baba au Babu kwenye uongozi ndio maana anajitahidi kutekeleza majukumu yake vizuri ndio maana hata bungeni huoni akizozana na wabunge
 
Kati ya Mawaziri ninaowaona
, ni Wababaishaji huyu naye ni mmojawapo Na mwanzake_
,bashe
Sidhani kama uko sahihi unayo rekodi ya hali ya upatikanaji maji vijijini ulivyo kwa sasa kupitia miradi ya RUWASA ukilinganisha na miaka ya nyuma unless kama una tatizo binafsi na aweso
 
Kwanini Waziri wa Maji, Jumaa Aweso anaonekana ni moja ya Mawaziri wanaoongelewa vizuri zaidi ana nini hasa cha ziada tofauti na wenzake?

Itakumbukwa kuwa Aweso ni moja ya mawaziri wapya ambaye alianza majukumu ya Naibu Waziri wa Maji mwaka 2017 na baadaye kuja kuwa Waziri kamili wa Maji.

Huku wengine wakiwa ni wazoefu kwenye uwaziri shida ni nini
Wewe ni Aweso unafungua uzi kujisifia mwenyewe😆

Acha upuuzi
 
Wizara ya maji haina ugumu wowote kama kuna bajeti, ukishakua na bajeti kinachobaki ni usimamizi tu ambao mtu yeyote mwenye akili timamu anaweza kufanya.

Hakuna mambo yoyote ya ajabu kutoka kwenye wizara ya maji ambayo yashafanyika tangu yeye awe Waziri. Tungemuona wa maana sana kama angegusa kwenye eneo la umwagiliaji ambalo kwa kiasi kikubwa limesahaulika sana.

Inawezekana pengine Awesso akawa ni kiongozi bora lakini hii wizara aliyopo haiwezi kuwa mizani nzuri ya kupima ubora wake.

Zingine zilizobaki ni ngojera tu
 
Kati ya Mawaziri ninaowaona
, ni Wababaishaji huyu naye ni mmojawapo Na mwanzake_
,bashe
Wanabebwa na dini tu! Ndo maana ameingia hajagusa hata waziri mmoja muislam kumtoa katoa wote wakristo akina Kitila,Lukuvi,Kabudi na Kalemani kaingiza wavaa madera!
 
Sidhani kama uko sahihi unayo rekodi ya hali ya upatikanaji maji vijijini ulivyo kwa sasa kupitia miradi ya RUWASA ukilinganisha na miaka ya nyuma unless kama una tatizo binafsi na aweso
Huyo mwizi alishajua akili ya mama ni kuimba mapambio huku unaiba a k a kulamba asali!
 
Wanabebwa na dini tu! Ndo maana ameingia hajagusa hata waziri mmoja muislam kumtoa katoa wote wakristo akina Kitila,Lukuvi,Kabudi na Kalemani kaingiza wavaa madera!
Wote hao ni sukuma gang, wanaweza kuwa wanamgeuka wakiwa peke yao, ni masalia ya JPM.
 
Miradi ya maji inakamilika.

Ukiona mtu aliteuliwa na Magufuli ujue ni jembe sana na ukiona mtu alitumbuliwa na Magufuli ujue ni kilaza sana
Mwigulu aliteuliwa na Magufuli, akamtumbua, baadae akamteua tena.

Unanaamisha Magufuli aliteua kilaza kwa mara ya pili?
 
Back
Top Bottom