Kwanini Jumuiya za CCM zimekubuhu kwa unyang'au na Ufisadi? Kila ripoti ya CAG ni lazima watajwe wao

Hizo ndizo sifa za fisiemu, ukiunganisaha na zile trion1.5 ambazo hazikujulikana matumizi yake, kumtafuta msafi ndani ya CCM ni kuitafutia CCM sifa ambayo haijawahi kuwa nayo.
 
Wizi na ufisadi ni ibada ndani ya CCM.
 
Wizi wa Mali za umma ni sera ya Siri ya ccm,hata kufanyia vikao ikulu bila kulipia au wanaccm kupanda ndege ya umma bure nao ni wizi Kama wizi mwingine tu
 
Huo ni ukoo wa panya,ccm hakuna msafi wote wezi meko ndio fisadi papa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…