Kwanini kafara au matambiko wanatumika njiwa, kuku, mbuzi au ng'ombe na sio mbwa, kondoo, kanga au paka?

πŸ˜‚ au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu ??

Anyway like serious 😳, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko?
Wanyama hao Wote unaodhani hawatumiki wanatumika sana! Inategemea na aina ya kafara , tanbiko au ibada
 
Mbwa na nguruwe ni najisi tangu zamani.
Shetani kakopi kanuni za Kimungu za enzi na enzi, hana jipya
Najisi kwa mujibu wa nani? Au wewe dunia yako inaanzia na kuishia wapi?
Wachina, Wagiriki, Watumi, Samoa na Fiji na Haiti mbona walikuwa wakitoa mbwa na nguruwe katika kafara zao? Na wengine kama Fiji na Haiti na China (Taoism) hadi leo wanaendelea kutumia wanyama hao!
 
Najisi kwa mujibu wa Biblia.
Kwenye orodha ya sadaka za kuteketezwa Kibiblia mbwa, paka, nguruwe hakuwepo. Shetani kakopi huko
 
πŸ˜‚ au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu ??

Anyway like serious 😳, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko?
Bila kusahau nguruwe
 
Aisee, upeleke Mbwa,, uskie kisauti cha mzimu kinasema "umeiona mimi fala ee" mbwa wewe! Na tuone kama utatoboa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…