sengobad JF-Expert Member Joined Aug 13, 2017 Posts 9,008 Reaction score 8,788 Dec 22, 2024 #21 Carlos The Jackal said: Upeleke Mbwa, Mganga atakula nn jomba ?. Click to expand... Lakn China mbwa anatumika, ukimpeleka ni poa tu.
Carlos The Jackal said: Upeleke Mbwa, Mganga atakula nn jomba ?. Click to expand... Lakn China mbwa anatumika, ukimpeleka ni poa tu.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 22, 2024 #22 Hapo wate wanatumika kasoro Mbwa na Paka... Cc: Mahondaw
PakiJinja JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 11,689 Reaction score 25,848 Dec 22, 2024 #23 Mwamuzi wa Tanzania said: Najisi kwa mujibu wa Biblia. Kwenye orodha ya sadaka za kuteketezwa Kibiblia mbwa, paka, nguruwe hakuwepo. Shetani kakopi huko Click to expand... Sehemu gani ya Biblia iliyoandikwa ni najisi ili mimi nikuonyeshwe palipokitakasa
Mwamuzi wa Tanzania said: Najisi kwa mujibu wa Biblia. Kwenye orodha ya sadaka za kuteketezwa Kibiblia mbwa, paka, nguruwe hakuwepo. Shetani kakopi huko Click to expand... Sehemu gani ya Biblia iliyoandikwa ni najisi ili mimi nikuonyeshwe palipokitakasa
The-unknown JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 1,228 Reaction score 1,447 Dec 22, 2024 #24 Mwamuzi wa Tanzania said: Mbwa na nguruwe ni najisi tangu zamani. Shetani kakopi kanuni za Kimungu za enzi na enzi, hana jipya Click to expand... Nguruwe amekujaje hapa
Mwamuzi wa Tanzania said: Mbwa na nguruwe ni najisi tangu zamani. Shetani kakopi kanuni za Kimungu za enzi na enzi, hana jipya Click to expand... Nguruwe amekujaje hapa
The-unknown JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 1,228 Reaction score 1,447 Dec 22, 2024 #25 Mizimu ni watu/nafsi za watu waliokufa zamani kwahiyo kama ni chakula/kafara lazima kiwe anachoweza kushiriki binadamu
Mizimu ni watu/nafsi za watu waliokufa zamani kwahiyo kama ni chakula/kafara lazima kiwe anachoweza kushiriki binadamu
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,032 Reaction score 18,540 Dec 22, 2024 #26 NoncChalant said: Ivi aliendaga wapi Click to expand... Yupoo
Kazanazo JF-Expert Member Joined Aug 16, 2023 Posts 2,582 Reaction score 4,554 Dec 22, 2024 #27 Eli Cohen said: π au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu? Anyway like serious π³, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko? Click to expand... Wapi huko?
Eli Cohen said: π au vinatolewa vile ambavyo mtaalamu anaweza kula tu? Anyway like serious π³, katika ulimwengu wa kiroho wanyama hawa wana connection hadi wao kutumika kwa ajili ya kafara na matambiko? Click to expand... Wapi huko?
A atcl Member Joined Sep 11, 2024 Posts 18 Reaction score 17 Dec 22, 2024 #28 Mkweche II said: Mfano wewe ni mzimu Je utakubali kula Hilo kundi la pili? Click to expand... πππππ
Mkweche II said: Mfano wewe ni mzimu Je utakubali kula Hilo kundi la pili? Click to expand... πππππ