Kwanini Kagera? Kunahitajika suluhisho la Kisiasa au Kisayansi?

Kwanini Kagera? Kunahitajika suluhisho la Kisiasa au Kisayansi?

Nairobian

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2012
Posts
873
Reaction score
2,281
Ni swala la kuhuzunisha kuona kila janga linawaangukia wana Kagera. Mv Bukoba, Karena. Tetemeko Kagera, Ndege Kagera. Inamfanya mtu kujiuliza: je, tatizo ni nini?

Au Serikali inangalie kama ni kitu scientific na Kagera kinachoipelekea mkoa huu kuwa na majanga makubwa ya kitaifa.
 
Jamhuri ya Kagera? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ndilo suluhisho
 
Inawezekana tambiko la taifa lilifanywa kwao. Poleni Wana kagera mnapitishwa kwenye mitihani migumu sana Sawa na mapigo saba kwa Farao.
 
Kagera cjui Kuna nn,hata Idd Amin alianza huko, bila kusahau ukimwi.
 
Jamhuri ya Kagera? 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 ndilo suluhisho
Kagera ni mzigo wa WIZI,wakati wanaigawa German East Africa ,walikwepesha mipaka ya asili wakaiweka Kagera kwenye iliyokuja kuwa Tanganyika kimakosa.
 
Kagera ni mzigo wa WIZI,wakati wanaigawa German East Africa ,walikwepesha mipaka ya asili wakaiweka Kagera kwenye iliyokuja kuwa Tanganyika kimakosa.
Hata hao nshomile , wanapenda sana kujinasibu na Uganda , hasa abaganda, wanapenda sana kuongea kiganda...
 
Back
Top Bottom