BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 9,528
- 24,071
Wote hawakutoka , walikua chini ya vungu za vitanda vyao , mpaka pale jeshi lao la ukombozi chini ya amri za kamanda Dullah, lilipoanza kumimina mijegejo kwa raia wema!Ni jambo la ajabu sana, mali zinaharibiwa kwenye maandamano kwa kiasi kile halafu hakuna wa kuzia mpaka baadae sana.
Muliro ni aina ya watu wanaomuangusha Kipenzi chetu mama samia, analipwa mshahara mnono lakini hatokei kwenye eneo la tukio.
Unaambiwa siku ya maandamano October 29 waandamanaji walimkuta Muliro nyumbani kwake akiwa amejibanza. Akawatisha tisha na bastola akaruka ukuta sijui akakimbilia anapojua mwenyewe.
Kamanda uliyeaminiwa badala ya kuongoza vikosi vya polisi, wewe unajibanza uvunguni unawasukumiza mbele polisi wadogo wasio na uzoefu wowote wa mapambano mwishowe wakabaki wanafyatua marisasi hovyo kwa hofu bila udhibiti.
Kwa kweli inakera sana, Mikwara yote uliyokuwa unapiga kwenye TV halafu mwisho wa siku ukala kona.
Kwanini hukutokea kwenye maandamano wewe?? umesababisha uharibifu mkubwa sana.
Nachukia sana makamanda uchwara wanaokula mishahara bila kutimiza wajibu.
Ni jambo la ajabu sana, mali zinaharibiwa kwenye maandamano kwa kiasi kile halafu hakuna wa kuzuia mpaka baadae sana.
Muliro ni aina ya watu wanaomuangusha sana Kipenzi chetu mama samia, analipwa mshahara mnono bila uwajibikaji unaostahili.
Unaambiwa siku ya maandamano October 29 waandamanaji walimkuta Muliro nyumbani kwake akiwa amejibanza. Akawatisha tisha na bastola akaruka ukuta sijui akakimbilia anapojua mwenyewe.
Kamanda uliyeaminiwa badala ya kuongoza vikosi vya polisi, wewe unajibanza uvunguni unawasukumiza mbele polisi wadogo wasio na uzoefu wowote wa mapambano mwishowe wakabaki wanafyatua marisasi hovyo kwa hofu bila udhibiti.
Kwa kweli inakera sana, Mikwara yote uliyokuwa unapiga kwenye TV halafu mwisho wa siku ukala kona.
Kwanini hukutokea kwenye maandamano wewe?? umesababisha uharibifu mkubwa sana.
Nachukia sana makamanda uchwara wanaokula mishahara bila kutimiza wajibu.
Wewe uandamane? Kama kwenye maisha ya kawaida tu hadi Binti Kimoso akufuge, utaweza maandamano? 🤣🤣Alikuwepo!
Nilimuona! Alipanda gari nyeusi yenye maandishi POLISI 999 (DSM).
Alikuwa muungwana kwetu. Alitoa amri tuondoke, ingawaje alitumia lugha ya kiaskari(kibabe) ☺️
Na ikianza 9/12 hakuna kuzimaaa.
Wewe uandamane? Kama kwenye maisha ya kawaida tu hadi Binti Kimoso akufuge, utaweza maandamano? 🤣🤣
Unaandikaga nini dogo? Ni vile vipeperushi vyako kama vya Yericko Nyerere jasusi lenye mwanya na linalorembua macho?Sasa ningejuaje Muliro alikuwa ndani ya gari nyeusi illiyoandikwa POLISI 999 (DSM)
Mimi nilitoka kwaajili ya kazi yangu ya kuandika. Ingawaje kiukweli ilikuwa hatari sana. Ilikuwa very risk.
Haya pia ni makosa.Na ikianza 9/12 hakuna kuzimaaa.
Yani mwanzo mwisho.haya masuala ya kupanga tarehe zingine mnawapa muda wa kujipanga.
Makosa gani Tena?Haya pia ni makosa.
Utashangaa tangu 8/12 doria itakuwa kali.
Wewe jamaa bana, mara maandamano yalifeli. Mara ulikuwa unayachungulia, tena hapa unatupiga fixAlikuwepo!
Nilimuona! Alipanda gari nyeusi yenye maandishi POLISI 999 (DSM).
Alikuwa muungwana kwetu. Alitoa amri tuondoke, ingawaje alitumia lugha ya kiaskari(kibabe) ☺️
Huu ni ujinga sana umeandika.Alikuwepo!
Nilimuona! Alipanda gari nyeusi yenye maandishi POLISI 999 (DSM).
Alikuwa muungwana kwetu. Alitoa amri tuondoke, ingawaje alitumia lugha ya kiaskari(kibabe) ☺️
Makosa gani Tena?
Wewe jamaa bana, mara maandamano yalifeli. Mara ulikuwa unayachungulia, tena hapa unatupiga fix
Muliro walimfuata nyumbani akatoweka banahAlikuwepo!
Nilimuona! Alipanda gari nyeusi yenye maandishi POLISI 999 (DSM).
Alikuwa muungwana kwetu. Alitoa amri tuondoke, ingawaje alitumia lugha ya kiaskari(kibabe) ☺️
Haujajibu kosa lipiKwani hayakufeli?
Wewe tarehe 30 mpaka 3 unafikiri watu hatukuchungulia?
Mkuu tupatie ufafanuzi kidogo hapoNaambiwa hapa kwamba alikimbilia RIVERSIDE.
Huyo jamaa bwege maandamano yalifeli maana Rais aliapishwa na serikali bado ipoKwani hayakufeli?
Wewe tarehe 30 mpaka 3 unafikiri watu hatukuchungulia?