Kwanini kampuni za simu hutuma flash SMS badala ya zile za kawaida?

Dar Joto Sana

Member
Joined
Feb 28, 2025
Posts
55
Reaction score
59
Mambo vp wadau?

Kwanini "Telecom Companies" hutuma flash SMS badala ya zile za kawaida?

Kwanini ujumbe au tangazo ambalo lingewezekana kutumwa kwa njia ya sms ya kawaida linatumwa kwa njia ya flash SMS??

Hilo ndio swali langu.

1741869887035.png

Asili ya flash sms ni majanga, kama moto, mafuriko, mvua etc hio sms ikitumwa ina bypass vitu vyote kama unacheza game ama hata lockscreen ina bypass na kukupa ujumbe.

Huku kwetu makampuni ya simu yameupatia wanazo tumia. Kufanyia matangazo, wanatumia hizo badala ya sms sababu wanajua sms hutasoma ila hio lazima ikukere usome.

Hio sms ikiingia usiku umelala unashangaa unaamka simu haina chaji.
 
Mkuu, hapo kwenye simu kukosa chaji umeniacha kidogo kaka mkubwa.

Una maana flash SMS ikiingia kama simu ipo on, inakula sana chaji kama haujaiondoa katika screen??
 
Back
Top Bottom