Dar Joto Sana
Member
- Feb 28, 2025
- 55
- 59
Hakuna swali hapo!Kimyaa
Kwanini ujumbe au tangazo ambalo lingewezekana kutumwa kwa njia ya sms ya kawaida linatumwa kwa njia ya flash SMS??Hakuna swali hapo!
Asili ya flash sms ni majanga, kama moto, mafuriko, mvua etc hio sms ikitumwa ina bypass vitu vyote kama unacheza game ama hata lockscreen ina bypass na kukupa ujumbe.Mambo vp wadau?
Kwanini "Telecom Companies" hutuma flash SMS badala ya zile za kawaida?
Kwanini ujumbe au tangazo ambalo lingewezekana kutumwa kwa njia ya sms ya kawaida linatumwa kwa njia ya flash SMS??
Hilo ndio swali langu.
Mkuu, hapo kwenye simu kukosa chaji umeniacha kidogo kaka mkubwa.Asili ya flash sms ni majanga, kama moto, mafuriko, mvua etc hio sms ikitumwa ina bypass vitu vyote kama unacheza game ama hata lockscreen ina bypass na kukupa ujumbe.
Huku kwetu makampuni ya simu yameupatia wanazo tumia. Kufanyia matangazo, wanatumia hizo badala ya sms sababu wanajua sms hutasoma ila hio lazima ikukere usome.
Hio sms ikiingia usiku umelala unashangaa unaamka simu haina chaji.
Mkuu, kwa hiyo ni marketing strategy??NI tangazo na inabidi ulisome kwa lazima ili bwana matangazo apate chake