mwakani naolewa
Senior Member
- Jul 25, 2024
- 148
- 426
Ripoti ya takwimu za uhalifu na usalama barabarani ya mwaka 2023 kutoka jeshi la polisi Tanzania kupitia ofisi ya takwimu {NBS}, inasema kuwa mikoa takriban 40 ya kipolisi nchini imesajili jumla ya matukio 73 ya utekaji watoto wadogo, hata hivyo kati ya idadi ya mikoa hiyo mikoa 7 ya kanda ya ziwa imeripoti matukio 35 sawa na asilimia 48 ya idadi ya mikoa yote.
Wewe unafikiri ni kwanini mikoa ya kanda ya ziwa inaripotiwa kua na matukio mengi ya utekaji watoto kulingana na mikoa mimgine?
Wewe unafikiri ni kwanini mikoa ya kanda ya ziwa inaripotiwa kua na matukio mengi ya utekaji watoto kulingana na mikoa mimgine?