Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Nimetafuta nakala mbalimbali za Katiba ya Tanzania lakini hakuna sahihi? Ni zipi sababu zilizopelekea tusitie sahihi kama ilivyo kwenye sheria na nyaraka nyingine?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Au na tuseme Katiba ni mali ya Mahakama ya Katiba"haipo na Sahihi haipo"si ndivyo?Katiba ni tamko la Wananchi wote/ Azimio la wananchi wote. Ndo mana inapigiwa kura hivyo inapopitishwa hakuna anayesaini.
Sheria ni mali ya Executive ambayo ina jukumu kuu la kusimamia Law and Order. Ndo mana inasainiwa na Rais ili ianze kutumika.