Kwanini katika Press Conference ya Uhamasishaji wa Taifa Stars Waziri Mkuu alikuwa akitoa Maelekezo ya Pesa kwa Ahmed Ally na siyo Ali Kamwe?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kuna Mtu alivaa Suti ya Kizee na Kiserikali ila wala Waziri Mkuu alikuwa hampi Yeye Maelekezo ya Kuchukua Pesa za Serikali badala yake Maelekezo yote alikuwa akipewa Mtu Mwerevu Mweledi Ahmed Ally Msemaji wa Simba SC.

Kazi kweli kweli.
 
Tajiri Mo amesema nyie Simba ni hasara tupu kwake.
Pia kasema sio billion 20 tu, akipiga hesabu zake vizuri anaona mpaka sasa ametoa billion 50 na bado mmeendelea kuwa hasara kubwa kwake 😆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…